Kithuri

Kithuri ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan Kusini inayozungumzwa na Wathuri. Mwaka wa 1956 idadi ya wasemaji wa Kithuri imehesabiwa kuwa watu 6600. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kithuri iko katika kundi la Kinilotiki.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search